Ukurasa wa Idara
Lengo
Utafiti na ukuzaji wa utaalamu ni miongoni mwa Idara za Taasisi ya Elimu ya Zanzibar ambayo ina Divisheni nne:Divisheni ya Udhibiti Ubora wa Vifaa vya Kielimu, Divisheni ya Ufuatiliaji na Tathmini, Divisheni ya Utafiti na Ushauri Elekezi, Divisheni ya Uendelezaji wa Utaalamu and Divisheni ya Maktaba na Uhifadhi wa Nyaraka. Aidha, Idara inaongozwa na Mkuu wa Idara na Divisheni zinaongozwa na Wakuu wa Divisheni kama.
TAMKO LA DIRA YA IDARA YA UTAFITI WA ELIMU NA UDHIBITI UBORA
Dira ya idara hii ni”Kuwa idara inayoongoza katika kufanya tafiti na kutoa ushauri elekezi ili kuimarisha maendeleo ya mabadiliko ya mitaala’’
TAMKO LA DHAMIRA YA IDARA
Dira inatokana na dhamira ambayo ni “Kutilia mkazo utoaji wa elimu bora kwenye ngazi ya Maandalizi, Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu kwa njia ya kutoa mafunzoya utaalamu, kufanya tafiti na utoaji wa huduma za kielimu kwa walengwa.
MISINGI YA IDARA
Katika kufanikisha dira kwa ufanisi, Idara hii imedhamiria kufanya yafuatayo;
- 1). Kutoa huduma bora za kielimu
- 2). Ushindani wa utoaji wa huduma bora za kielimu
- 3). Kuleta uwajibikaji, uwazi na uaminifu
- 4). Kufanya kazi kwa umakini na kwa kujitolea
- 5). kufanya kazi kulingana na mazingira yaliyopo
- 6). Kudumisha uhuru wa kujieleza
- 7). Mafunzo endelevu
SHABAHA ZA IDARA
“Utafiti ni Hazina”. This is a Swahili word which means “Research is Treasure”
MAJUKUMU YA IDARA
1. | Kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa taasisi ya elimu ya zanzibar kwa mambo yanayohusiana na utafiti na uendelezaji wa utaalamu. |
2. | Kuhakikisha mambo yote ya idara yanatelekezwa kwa ufanisi zaidi kama yalivyopangwa. |
3. | Kushauri juu uandaaji, ukuzaji na upitiaji na uimarishaji wa vifaa vya ufundishaji na ujifunzaji katika ngazi za Maandalizi, Msingi, Sekondari, vyuo vya ualimu na elimu isiyo rasmi |
4. | Kufanya utafiti wa kitaaluma kuhusiana na mtaala na vifaa vya ufundishaji na ujifunzaji. |
5. | Kupanga na kufanya ufuatiliaji na tathmini za programu zinazohusiana na ufundishaji na ujifunzaji. |
6. | Kufanya mapitio ya mara kwa mara yanayohusiana na malengo ya elimu, sera, programu na kufanya mabadiliko yanayohitajika. |
7. | Kubuni mipango ya kielimu kwa ajili ya utafiti na ukuzaji wa taaluma katika ngazi za maandalizi, msingi, sekondari na vyuo vya uwalimu vya Zanzibar na elimu isiyo rasmi |
8. | Kuanzisha muongozo wa ufuatiliaji na tathimini ya ubora wa kiwango cha ufundishaji katika skuli na vyuo vya ualimu Zanzibar. |
9. | Kuweka vigezo vya kielimu vinavyotakiwa kufikiwa katika skuli na vyuo vya ualimu na kufuatilia utekelezaji wake. |
10. | Kuratibu na kusimamaia utumiaji wa vifaa vya kufundishia katika skuli na vyuo vya ualimu. |
11. | Kupitia mapendekezo ya tafiti yanayotolewa na vyombo husika vya utekelezaji wa mitaala |
12. | Kuainisha na kusimamia mafunzo ya utaalamu katika utekelezaji wa mitaala. |
13. | Kuzitembelea na kushauri skuli kuhusiana na matumizi ya vifaa vya mtaala. |
14. | Kutayarisha ripoti ya utekelezaji wa shughuli ya idara ya robo na nusu mwaka. |
15. | Kutumia TEHAMA katika kufanikisha majukumu ya kila siku na, |
16. | Kufanya kazi nyengine zinazohusiana na idara kama anavyelekezwa na mkurugenzi. mengine ya kikazi atakayopewa na mkuu wake wa kazi. |

Idara ya Rasilimali watu na Mipango
Lengo
Utafiti na ukuzaji wa utaalamu ni miongoni mwa Idara za Taasisi ya Elimu ya Zanzibar ambayo
ina Divisheni nne:Divisheni ya Udhibiti Ubora wa Vifaa vya Kielimu, Divisheni ya Ufuatiliaji na
Tathmini, Divisheni ya Utafiti na Ushauri Elekezi, Divisheni ya Uendelezaji wa Utaalamu and
Divisheni ya Maktaba na Uhifadhi wa Nyaraka. Aidha, Idara inaongozwa na Mkuu wa Idara na
Divisheni zinaongozwa na Wakuu wa Divisheni kama.
TAMKO LA DIRA YA IDARA YA UTAFITI WA ELIMU NA UDHIBITI UBORA
Dira ya idara hii ni”Kuwa idara inayoongoza katika kufanya tafiti na kutoa ushauri elekezi ili
kuimarisha maendeleo ya mabadiliko ya mitaala’’
TAMKO LA DHAMIRA YA IDARA
Dira inatokana na dhamira ambayo ni “Kutilia mkazo utoaji wa elimu bora kwenye ngazi ya
Maandalizi, Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu kwa njia ya kutoa mafunzoya utaalamu,
kufanya tafiti na utoaji wa huduma za kielimu kwa walengwa.
MISINGI YA IDARA
Katika kufanikisha dira kwa ufanisi, Idara hii imedhamiria kufanya yafuatayo;
SHABAHA ZA IDARA
“Utafiti ni Hazina”. This is a Swahili word which means “Research is Treasure”
MAJUKUMU YA IDARA
1. Kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa taasisi ya elimu ya zanzibar kwa mambo yanayohusiana na utafiti na uendelezaji wa utaalamu. 2. Kuhakikisha mambo yote ya idara yanatelekezwa kwa ufanisi zaidi kama yalivyopangwa. 3. Kushauri juu uandaaji, ukuzaji na upitiaji na uimarishaji wa vifaa vya ufundishaji na ujifunzaji katika ngazi za Maandalizi, Msingi, Sekondari, vyuo vya ualimu na elimu isiyo rasmi 4. Kufanya utafiti wa kitaaluma kuhusiana na mtaala na vifaa vya ufundishaji na ujifunzaji. 5. Kupanga na kufanya ufuatiliaji na tathmini za programu zinazohusiana na ufundishaji na ujifunzaji. 6. Kufanya mapitio ya mara kwa mara yanayohusiana na malengo ya elimu, sera, programu na kufanya mabadiliko yanayohitajika. 7. Kubuni mipango ya kielimu kwa ajili ya utafiti na ukuzaji wa taaluma katika ngazi za maandalizi, msingi, sekondari na vyuo vya uwalimu vya Zanzibar na elimu isiyo rasmi 8. Kuanzisha muongozo wa ufuatiliaji na tathimini ya ubora wa kiwango cha ufundishaji katika skuli na vyuo vya ualimu Zanzibar. 9. Kuweka vigezo vya kielimu vinavyotakiwa kufikiwa katika skuli na vyuo vya ualimu na kufuatilia utekelezaji wake. 10. Kuratibu na kusimamaia utumiaji wa vifaa vya kufundishia katika skuli na vyuo vya ualimu. 11. Kupitia mapendekezo ya tafiti yanayotolewa na vyombo husika vya utekelezaji wa mitaala 12. Kuainisha na kusimamia mafunzo ya utaalamu katika utekelezaji wa mitaala. 13. Kuzitembelea na kushauri skuli kuhusiana na matumizi ya vifaa vya mtaala. 14. Kutayarisha ripoti ya utekelezaji wa shughuli ya idara ya robo na nusu mwaka. 15. Kutumia TEHAMA katika kufanikisha majukumu ya kila siku na, 16. Kufanya kazi nyengine zinazohusiana na idara kama anavyelekezwa na mkurugenzi. mengine ya kikazi atakayopewa na mkuu wake wa kazi.