Utiaji saini Mkataba wa Uchapishaji Vitabu kwaajili ya Skuli binafsi Zanzibar
Hafla ya Utiaji saini Mkataba wa Uchapishaji Vitabu kwaajili ya Skuli binafsi Zanzibar Baina ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali na Kampuni SEMUKA International Tanzania Ltd
Maafisa Taasisi ya Elimu, Walimu Wakuu na Wakuu wa Vituo vya walimu
Hafla ya Ugawaji wa Vitabu vya Elimu ya Sekondari
KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA AKIWA NA KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
Wakiwa katika Ugawaji wa Vitabu vya Elimu ya Sekondari
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali akizindua vitabu unaoendana na Mtaala mpya
Ugawaji wa Vitabu kwa Mtaala Mpya