Mafunzo ya Mfumo wa Masjala (e-office)

Wakala wa Serikali Mtandao (e-government) Imetoa mafunzo ya Mfumo wa Masjala (e-office) kwa Maafisa wa Taasisi ya Elimu ya Zanzibar ili kurahisisha utendaji kazi zao ikiwemo kutuma barua na utoaji wa taarifa nyengine za kiofisi.